Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile
Samia Suluhu

@suluhusamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania

ID: 2652554565

calendar_today29-06-2014 07:42:17

1,1K Tweet

1,6M Followers

26 Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimefurahi kukutana na mmoja wa waliokuwa waalimu wangu nikiwa mwanafunzi wa IDM Mzumbe (sasa Chuo Kikuu Mzumbe) kuanzia mwaka 1983 hadi 1986 Mama Sabina Gellejah, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Majengo ya Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu Mzumbe.

Baada ya siku nzuri ya kazi mkoani Morogoro (Mzumbe, Mikumi, Ruaha, Kilombero na Ifakara), nimepata wasaa kufuatilia kilele cha Wiki ya Mwananchi 2024 kupitia runinga. Ninyi kweli Taifa Kubwa, viwanja viwili vimejaa. Nawatakia kila la kheri katika msimu mpya wa Ligi Kuu.

Katika mazungumzo na wananchi wa Ifakara, Ulanga, Mlimba na Malinyi Uwanja wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ifakara leo, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yangu ya kikazi kwenye Mkoa wa Morogoro. Mkoa wa Morogoro una baraka kubwa ya mvua na ardhi nzuri yenye mazao ambayo pia ni tegemeo

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Jioni ya leo katika mazungumzo na wananchi kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mkoa wa Morogoro unaendelea kupata mwamko mkubwa wa kiuchumi ikiwemo kuanza kazi kwa Treni ya SGR, kuongezeka kwa viwanda na kukua kwa uwekezaji kwenye kilimo. Tutaendelea kuwekeza katika

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ahsanteni sana Morogoro. Panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu nitarejea tena kuona hatua kubwa tunazoendelea kupiga kwa pamoja hapa na kwenye mikoa yote nchini katika kuinua hali ya maisha kiuchumi, miundombinu, afya, elimu, maji, nishati na matumizi ya ardhi.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Katika Kilele cha Maadhimisho ya Maonesho ya Nane Nane ambapo pamoja na mambo mengine nimeweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo Dodoma, ya kisasa na ya mfano kwa Bara la Afrika. Kilimo, mifugo na uvuvi ni sekta ambazo zimeajiri asilimia kubwa ya wananchi wetu,

Katika Kilele cha Maadhimisho ya Maonesho ya Nane Nane ambapo pamoja na mambo mengine nimeweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo Dodoma, ya kisasa na ya mfano kwa Bara la Afrika.

Kilimo, mifugo na uvuvi ni sekta ambazo zimeajiri asilimia kubwa ya wananchi wetu,
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii. #KariakooDerby Huku Taifa likiendelea kuchapa kazi, tunatarajia burudani safi ya msimu mpya wa Ligi Kuu toka kwenu Watani wa Jadi pamoja na Azam, Coastal Union, Dodoma Jiji, Fountain Gate, JKT, KMC,

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Jambo jema kuona uamuzi wa kutenga fedha na kuwapa mikopo ya elimu wanafunzi wa fani za kipaumbele wa Vyuo vya Kati ngazi ya Stashahada unavyoleta mabadiliko na matumaini mapya kwa wanafunzi wenyewe, wazazi na familia zao. Derick Ndosi ni sehemu ya wanafunzi 10,000 walioko

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimeutazama ujumbe wa Sylvester na Mama yake kuhusu uamuzi wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa aina yake vyuoni unavyogusa maelfu ya familia na kuandika historia mpya. Maelekezo na mwongozo wangu ni kuhakikisha mpango huu unaendelea kwa ufanisi na vijana wengi zaidi wananufaika nao.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

My heartiest congratulations to His Excellency President Joko Widodo and the Indonesian people on the occasion of Independence Day of the Republic of Indonesia. The government and the people of the United Republic of Tanzania remain committed to enhancing Indonesia-Tanzania

Mojawapo ya njia nzuri zaidi kwa taifa letu kuwalinda watoto na kujihakikishia kesho njema ya nchi yetu ni kuwapa fursa ya kupata elimu na malezi kimaadili na kiakili toka ngazi ya chini kabisa. Hili ni jukumu la Serikali na kila Mtanzania; kushiriki katika elimu na malezi ya

Nikiwa pamoja na viongozi na askari wa vikundi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika eneo la Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani kwenye zoezi lao la Medani, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya JWTZ ifikapo Septemba 1 mwaka huu.

Tanzania inamuunga mkono Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Raila Amolo Odinga katika kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU). Watanzania wanamfahamu Mheshimiwa Odinga kama mwanamajumui wa Afrika anayeamini katika mtangamano wa Afrika na

Heartfelt congratulations to Dr Faustine Engelbert Ndugulile for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa. You have made our country proud, and our continent will greatly benefit from your work. I am confident that your expertise and experience

Heartfelt congratulations to Dr Faustine Engelbert Ndugulile for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa. You have made our country proud, and our continent will greatly benefit from your work. 

I am confident that your expertise and experience
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Tunuku Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jioni ya leo nimewatunuku Nishani ya Miaka 60 ya JWTZ baadhi ya Majenerali, Maafisa pamoja na Askari ambao bado watakuwa kwenye utumishi hai wa Jeshi kufikia Septemba 1,

Tunuku

Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jioni ya leo nimewatunuku Nishani ya Miaka 60 ya JWTZ baadhi ya Majenerali, Maafisa pamoja na Askari ambao bado watakuwa kwenye utumishi hai wa Jeshi kufikia Septemba 1,
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutukutanisha mchana wa leo katika Mashindano ya Dunia ya Qur’an Tukufu kwa Wanawake kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kila ninapopata nafasi ya kuzungumza kwenye majukwaa ya kidini huwa naeleza na kukumbusha umuhimu wa

Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutukutanisha mchana wa leo katika Mashindano ya Dunia ya Qur’an Tukufu kwa Wanawake kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. 

Kila ninapopata nafasi ya kuzungumza kwenye majukwaa ya kidini huwa naeleza na kukumbusha umuhimu wa
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya kutimiza Miaka 60 kwa Jeshi letu Watanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Katika siku ya leo tunayo kila sababu ya kujivunia kama Watanzania kwa kuendelea kuwa na Jeshi imara, la ulinzi, lenye weledi, utayari na nidhamu ya hali ya juu na

Kheri ya kutimiza Miaka 60 kwa Jeshi letu Watanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Katika siku ya leo tunayo kila sababu ya kujivunia kama Watanzania kwa kuendelea kuwa na Jeshi imara, la ulinzi, lenye weledi, utayari na nidhamu ya hali ya juu na
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimewasili jijini Beijing nchini China kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika. Aprili 26 mwaka huu, Tanzania na China zilitimiza miaka 60 ya mahusiano ya kidiplomasia. Imekuwa miaka 60 ya mahusiano ya kimkakati yenye tija

Nimewasili jijini Beijing nchini China kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika. 

Aprili 26 mwaka huu, Tanzania na China zilitimiza miaka 60 ya mahusiano ya kidiplomasia. Imekuwa miaka 60 ya mahusiano ya kimkakati yenye tija
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nikiwa na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Xi Jinping na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema, pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika. Kwa pamoja, tumeshuhudia uwekaji saini wa

Mapema leo nikiwa na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Xi Jinping na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema, pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika.

Kwa pamoja, tumeshuhudia uwekaji saini wa
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Earlier today, addressing distinguished Heads of State and Government, Delegations, friends and distinguished guests at the Opening Ceremony of the FOCAC Summit in Beijing. The friendship between China and Africa transcends time and space, across mountains and seas, and is

Earlier today, addressing distinguished Heads of State and Government, Delegations, friends and distinguished guests at the Opening Ceremony of the FOCAC Summit in Beijing. 

The friendship between China and Africa transcends time and space, across mountains and seas, and is